• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri wa mambo ya nje wa Marekani aahidi kupunguza ushawishi wa Iran Mashariki ya Kati

  (GMT+08:00) 2019-01-11 10:49:32

  Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo amesema Marekani itatumia njia ya kidiplomasia na kushirikiana na washirika wake kupunguza ushawishi wa Iran katika eneo la Mashariki ya Kati. Amesema nchi za Mashariki ya Kati hazitakuwa na usalama, utulivu wa kiuchumi na pia hazitahimiza utimizaji wa ndoto za wananchi wao, kama Iran itaendelea kufanya shughuli zake za sasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako