• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bw. Yang Jiechi afanya ziara nchini UAE, Misri, Guinea Ikweta na Cameroon

  (GMT+08:00) 2019-01-11 18:59:05

  Mjumbe maalumu wa rais wa China Bw. Yang Jiechi atafanya ziara nchini Falme za Kiarabu (UAE), Misri, Guinea Ikweta na Cameroon.

  Bw. Wang pia atahudhuria shughuli husika za mkutano wa kilele wa nishati za siku zijazo duniani utakaofanyika nchini UAE, kuanzia tarehe 13 hadi tarehe 19 mwezi huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako