• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Rwanda yatafuta wawekezaji wa Japan

  (GMT+08:00) 2019-01-11 20:14:18
  Rais wa Rwanda Paul Kagame amewaomba wawekezaji wa Japan kuwekeza nchini mwake akisema kuna mazingira mazuri ya kibiashara.

  Kagame ambaye amefanya ziara nchini Japan amesema pia Rwanda ina mipango na nafasi za ain azote kwa kila wawekezaji.

  Akizungumza kwenye kongamano la kibiashara la Rwanda na Japan mjini Tokyo Kagame aliwaambia wawekezaji wasiwe na hofu ya kuwa Rwanda haina bandari na badala yake kuona nafasi iliopo kwenye uvumbuzi.

  Miongoni mwa fursa za uwekezaji zilizoonyeshwa kwenye kongamano hilo ni pamoja na miradi ya uvumbuzi katika mji mkuu Kigali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako