• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia : Kampuni za China na Ufaransa zapewa kandarasi kwenye mradi wa bwawa kuu Ethiopia

  (GMT+08:00) 2019-01-11 20:14:36
  Kampuni ya Umeme ya Ethiopia imetoa mikataba kwa makampuni ya Kichina na Kifaransa kutoa mitambo 13 ya kuzalisha kawi katika Bwawa la Kuu la Renaissance.

  Kampuni ya Power China itauzia Ethiopia mitambo 11, huku nayo GE Hydro ya Ufaransa ikiuza mitambo miwili iliyobaki.

  Pamoja na mitambo hiyo, Power China pia ilipewa kandarari ya dola milioni 125.6 ya kujenga muundo wa chuma wa bwawa hilo.

  GE Hydro piainalipwa euro milioni 53.9 ili kutoa vitengo vitano vya kuzalisha kawi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako