• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lin Yifu: Uchumi wa China kuendelea kudumisha ongezeko kubwa

    (GMT+08:00) 2019-01-12 17:24:42

    Aliyekuwa mwanauchumi mkuu wa benki ya dunia Bw. Lin Yifu hivi karibuni alisema, uchumi wa China unakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 6.5 hivi katika mwaka 2019, na mchango wake kwenye ongezeko la uchumi wa dunia utaendelea kudumishwa kwa asilimia 30.

    Bw. Lin Yifu aliyasema hayo kwenye kongamano la mtazamo wa uchumi wa China wa mwaka 2019 lililofanyika mjini New York, Marekani. Amesema, hivi karibuni China imechukua hatua mbalimbali za kupunguza ushuru wa makampuni, na kurahisisha idhini ya serikali, mambo ambayo yanaweza kuhimiza uwekezaji na kujenga mazingira yenye manufaa zaidi ya biashara. Vilevile, China imepanua ujenzi wa maeneo ya biashara huria, ili kutoa fursa nyingi zaidi kwa uwekezaji kutoka nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako