• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Chevron na Aramco Houston Marathoni kukiwasha Januari 20

    (GMT+08:00) 2019-01-14 08:50:11
    Mashindano ya mbio za Chevron sambamba na ya kilomita 21 ya Aramco zinatarajiwa kufanyika katika mji wa Houston nchini Marekani Jumapili ijayo Januari 20, Wanariadha mbalimbali duniani wanatarajiwa kushiriki mbio hizo.

    Rais wa mashindano hayo Bwana Brant Kotch amesema maandalizi yote kwa ajili ya mashindano hayo yamekamilika, wanariadha watakaoshiriki tayari wameshajisajili na kupatia maelekezo na vipimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako