• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi Kuu Uingereza (EPL)- Man United yaipiga Tottenham

    (GMT+08:00) 2019-01-14 08:50:51
    Mchezo kati ya Manchester United na Tottenham Hotspurs umepigwa jana katika dimba la Wembley umetoa matotokeo ya Man U kuilaza Tottenham kwa goli 1-0 na kufikisha alama sawa na Arsenal katika ligi kuu ya Uingereza (EPL).

    Mshambuliaji wa Man U Marcus Rashford ndio alifunga bao la pekee kwenye mchezo huo katika dakika ya 44 akimalizia pasi ya kiungo Paul Pogba.

    Manchester sasa imefikisha pointi 41 baada ya kucheza mechi 22. Spurs wao inabaki na pointi zake 48 baada ya kucheza michezo 22 ikiendelea kukamata nafasi ya 3 nyuma ya Manchester City.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako