• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kufanya operesheni ya kwanza ya kuchunguza sayari ya Mars mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2019-01-14 19:27:06

    Naibu mkuu wa idara ya taifa inayosimamia masuala ya anga ya juu ya China Bw. Wu Yanhua ambaye pia naibu mkuu wa mradi wa kuchunguza sayari ya mwezi amesema, operesheni ya kurejesha sampuli kutoka mwezi ya Chang'e No. 5 itaanza kutekelezwa mwishoni mwa mwaka 2019.

    Ameongeza kuwa, operesheni ya kwanza ya kuchunguza sayari ya Mars inatarajiwa kufanyaka mwaka 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako