• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Kiwanda cha Hariri kufunguliwa Kigali

  (GMT+08:00) 2019-01-14 19:54:49

  Serikali ya Rwanda inatarajia kufungua kiwanda kipya cha hariri katika eneo maalum la kiviwanda la Kigali.

  Kiwanda hicho kitakachofunguliwa mwezi ujao kitanunua mali ghafi kutoka kwa wafugaji wa Hariri wa Rwanda.

  Kwanza kiwanda hicho kitazalisha majora ya vitambaana ya kutenegeza shuka za vitanda.

  Kiwanda hicho ni ushirikiano wa kampuni ya HE works ya Korea Kusini na halamashauri ya kuza nje bidhaa ya kilimo ya Rwanda (NAEB).

  Mkurungezi wa HEworks, Seok-Weon Yoon amesema sasa wanafanyanyia majaribio ya mwisho kiwanda hicho na tayari wameajiri wato 30.

  Katika hatua za mwanzo kiwanda hicho kitauza nje tani 20 za Hariri na za dola 800,000.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako