• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Zimbabwe:Zimbabwe kuanza kutumia fedha zake ndani ya miezi 12

  (GMT+08:00) 2019-01-14 19:58:38

  Waziri wa fedha wa Zimbabwe Mthuli Ncube amesema nchi hiyo itaanza kutumia pesa zake ndani ya miezi 12 ijayo.

  Ncube amesema nchi hiyo haiwezi kuendelea kutumia dola za kimarekani au rand ya Afrika Kusini kama sarafu yake.

  Zimbabwe ilianza kutumia pesa za nchi za nje mwaka 2009 baada ya pesa zake kukosa thamani kufuatia mfuko wa bei mkubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako