• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Yang Jiechi ahudhuria sherehe ya ufunguzi wa maadhimisho ya 12 ya Wiki ya Maendeleo Endelevu huko Abu Dhabi

    (GMT+08:00) 2019-01-14 20:29:08

    Mjumbe maalumu wa rais wa China Bw. Yang Jiechi amehudhuria sherehe ya ufunguzi wa maadhimisho ya 12 ya Wiki ya Maendeleo Endelevu yanayofanyika Abu Dhabi, ambayo pia ni hafla ya utoaji wa tuzo ya Maendeleo Endelevu ya Abu Dhabi.

    Bw. Yang Jiechi amesema, rais Xi Jinping ameeleza kuwa ujenzi wa ustaarabu wa viumbe unahusiana na mustakabali wa binadamu, na kujenga makazi yasiyo na uchafuzi wa mazingira ni ndoto ya pamoja kwa watu wote duniani. Amesema jumuiya ya kimataifa inapaswa kuimarisha ushirikiano na kufanya juhudi kwa pamoja, ili kutimiza maendeleo endelevu duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako