• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Makambo atuliza Presha Yanga

    (GMT+08:00) 2019-01-15 08:35:22
    Baada ya uvumi kuenea kupitia mitandao ya kijamii na kuwapagawisha mashabiki wa klabu ya Yanga ya Tanzania kuwa mshambuliaji tegemeo wa klabu hiyo toka DRC Heritier Makambo kuondoka katika klabu hiyo, hatimaye afisa habari wa klabu hiyo Dismas Ten ametoa ufafanuzi na kutuliza presha kwa mashabiki hao.

    Dismas ameeleza kuwa Makambo alisafiri kurudi nyumbani kwao DRC kwa mapumziko mafupi, hivyo atarejea wakati wowote kuanzia sasa kuungana na timu hiyo inayojulikana zaidi kuwa ni timu ya wananchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako