• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Sekta ya michezo upande wa riadha yapatwa na msiba

    (GMT+08:00) 2019-01-15 08:35:51
    Mwanariadha raia wa Korea Kusini mwenye umri wa miaka 61 Yoo Byungwon amefariki wakati akishiriki mbio za kilomita 10 za Nyahururu nchini Kenya mwishoni mwa juma.

    Mwanariadha huyo aliwasili nchini Kenya Januari 8 mwaka huu kushiriki mbio hizo za duru za pili, alifariki mara tu baada ya kufikishwa hospitali. Wakati akishiriki mbio hizo, alisimama ghafla na kuanza kutetemeka huku akiishiwa pumzi kabla ya kuanguka.

    Polisi kushirikiana na Ubalozi wa Korea Kusini nchini Kenya umefanya juhudi kuwasiliana na ndugu zake kuwapa taarifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako