• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Umoja wa Falme za Kirabu kuimarisha ushirikiano kati yao

    (GMT+08:00) 2019-01-15 09:35:46

    Mrithi wa mfalme wa Abu Dhabi Sheikh Al Nahyan jana alikutana na mjumbe maalumu wa rais Xi Jinping wa China Bw. Yang Jiechi na walijadiliana kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya pande hizo mbili na mpango wa "Ukanda Moja, Njia Moja".

    Sheikh Al Nahyan amesema ziara ya rais Xi Jinping aliyofanya mwaka jana katika Umoja wa falme za kiarabu UAE, imeinua ushirikiano kati ya pande hizo mbili kwenye ngazi ya juu zaidi. Pia amesema chini ya mpango wa "Ukanda Moja, Njia Moja", UAE inapenda kushirikiana na China katika kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati ya viongozi wa nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako