• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bei ya mafuta imeshuka chini ya miezi 13 baada ya Tume ya Udhibiti wa Nishati kukata bei hadi Sh10 kwa lita moja katika mapitio ya bei ya hivi karibuni.

  (GMT+08:00) 2019-01-15 20:58:29

  Waendesha magari mjini Nairobi katika kipindi cha mwezi mmoja watanunua lita moja ya mafuta ya petrol kw ash 104.21 kutoka sh 113.54 ambayo wamekuwa wakilipa tangu mwezi Desemba 14.

  bei ya lita moja ya dizeli imeshuka kwa Sh10.04 , na iuzwa kw ash 102 .24.

  maendeshaji magari Mombasa watalipa Sh101.60 kwa lita moja ya petroli, Sh99.60 kwa dizeli na Sh99.09 kwa lita moja ya mafuta.

  Nakuru, lita moja ya petroli sasa itauzwa Sh104.73, dizeli na mafuta taa Sh102.94 na Sh102.41 kwa mtiririko huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako