• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kane kukosa mechi 7 ikiwemo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-01-16 08:37:00
    Kwa mujibu wa ripoti ya madaktari, kuna uwezekano mkubwa kwa mchezaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane kukaa benchi kwa muda wa wiki 10 hali itakayopelekea kukosa mechi 7 kufuatia jeraha la goti alilolipata wakati timu yake ilipocheza na Manchester United.

    Kane atakosa mechi kadhaa ikiwemo mechi ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Borussia Dortmund.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako