• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msaada wa kibinadamu watarajiwa kuwafikia Wayemen kufuatia usimamishaji vita

    (GMT+08:00) 2019-01-16 09:02:24

    Msemaji wa Umoja wa Mataifa Bw. Stephane Dujarric amesema maendeleo yamepatikana katika kusambaza msaada wa kibinadamu kwa mamilioni ya watu wanaoishi nchini Yemen kwenye vita na njaa kutokana na usimamishaji vita. Ofisi ya Uratibu ya Masuala ya Kibinadamu imesema mwaka huu mpango wa msaada wa kibinadamu unalenga kuwafikia watu milioni 15.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako