• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China asema kuchochea uhai wa soko ni msingi muhimu wa kukabiliana na shinikizo la kupungua kwa uchumi

    (GMT+08:00) 2019-01-16 19:10:48

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo ameitisha mkutano kusikiliza mapendekezo ya wataalamu, wasomi na wajasiriamali kuhusu mswada wa ripoti ya kazi ya serikali.

    Bw. Li amesema, mwaka huu uchumi wa China unakabiliwa na shinikizo kubwa la kupungua, hivyo ni lazima kufanya maandalizi ya kukabiliana na shinikizo hilo. Amesema inapaswa kuharakisha mtindo wa maendeleo, kuendelea kuvumbua na kuboresha marekebisho na udhibiti wa uchumi, kuongeza na kutumia vizuri chombo cha sera ili kukabiliana na hali isiyo hakika na kuzidisha mageuzi na ufunguaji mlango.

    Ameongeza kuwa kuchochea zaidi uhai wa soko ni msingi muhimu wa kukabiliana na shinikizo la kupungua kwa uchumi, pia ni mwelekeo muhimu wa mageuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako