Kung-Fu: Mashindano ya Kung-Fu ya dunia kwa watoto na vijana kuanza kesho China
(GMT+08:00) 2019-01-17 08:55:22
Mashindano ya Kung-Fu ya dunia kwa watoto na vijana yanatarajiwa kuanza kesho katika mji wa Changshan hapa China. mashindano hayo yanajumuisha watoto na vijana wenye umri kuanzia miaka 7 hadi 21.
Washiriki toka mataifa mbalimbali duniani watashiriki mashindano hayo ya majira ya baridi.