• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RUGBY: Omwela awaonya wachezaji wa rugby wa Kenya

    (GMT+08:00) 2019-01-17 08:55:40
    Mwenyekiti wa umoja wa mchezo wa Rugby nchini Kenya Richard Omwela amewaonya wachezaji wenye uzoefu wa mchezo huo wa wachezaji saba kila upande wa nchini humo kuzidisha umakini ili kuweza kuitwa katika timu ya taifa ya rugby.

    Omwela amesema hayo katika mkutano na waandishi wa habari jana wakati wa kuiaga timu ya taifa ya rugby ya Kenya ikiondoka kuelekea New Zealand kushiriki michuano ya rugby ya Hamilton ya wachezaji saba kila upande inayotarajia kuanza Januari 26 hadi 27 nchini New Zealand na mjini Sydney februari 2 na 3 nchini Australia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako