• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi aagiza juhudi zifanywe kuhimiza haki kwenye jamii kuhakikisha maisha ya watu

    (GMT+08:00) 2019-01-17 09:26:58

    Rais Xi Jinping wa China ameagiza juhudi zifanywe kuhimiza usimamizi wa kisasa wa kijamii, kuhimiza mageuzi na kuunda timu yenye nguvu kufanya kazi za kisiasa na kisheria.

    Akihutubia mkutano uliofanyika Beijing kuhusu kazi za kisasa na kisheria, Rais Xi ameziagiza idara za utekelezaji wa sheria na mahakama, kuhimiza moyo wao wa kimapinduzi, kuweka vigezo kwenye kazi zao na kuboresha ufanisi.

    Kwenye mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya maofisa waandamizi wa chama, Rais Xi amesema kuhimiza usimamizi wa sheria kwenye maeneo muhimu ni jambo lenye maslahi ya haraka kwa umma, ili waweze kupatiwa maji na hewa safi, chakula salama na usafiri usio na msongamano kwenye jamii yenye masikilizano zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako