• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkuu wa UM aweka mabadiliko ya hali ya hewa, SDGs na teknolojia mpya kuwa vipaumbele vya mwaka 2019

    (GMT+08:00) 2019-01-17 09:45:18

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres amesema Umoja huo unahitaji kuimarisha juhudi za kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa, kuhimiza kutimizwa kwa Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs na kutumia teknolojia mpya. Akitoa hotuba fupi kuhusu mustakbali wa mwaka 2019 kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw. Giterres amesema "kusimama kunamaanisha kurudi nyuma", na changamoto hizi tatu za karne ya 21 zinapaswa kupewa vipaumbele.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako