• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Tanzania yatengua teuzi za makamanda wa polisi

    (GMT+08:00) 2019-01-17 09:46:30

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Tanzania Bw. Kangi Lugola ametangaza kutengua teuzi za makamanda wa polisi wa mikoa mitatu ya Temeke, Ilala, na Arusha kutokana na kushindwa kupambana na ufisadi katika jeshi la polisi. Pia ameongeza kuwa makamanda wa polisi wa baadhi ya mikoa wamezembea kutekeleza miongozo yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako