• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mamlaka ya kodi Kenya kutumia teknolojia katika kuboreshaji ukusanyaji wa kodi

  (GMT+08:00) 2019-01-17 18:59:59

  Mamlaka ya kodi nchini Kenya KRA inalenga kutumia technolojia katika kufikia kiwango cha juu cha ukusanyaji wa kodi. Mkuu wa Mamlaka hiyo John Njiraini amesema Teknolojia hiyo pia itasaidia katika kuwanasa watu wanaofanya udanganyifu katika ulipaji wa kodi na wale wanaokwepa. Njiraini amesema Teknolojia hiyo mpya inalenga kuwanasa walipa kodi wapya milioni 3.06 ifikapo mwaka wa 2021.Aidha Mamlaka ya kodi imesema idadi ya watu wanaolipa kodi inatarajiwa kuongezeka kwa asilimia 65 ifikapo Juni 2021 kutoka asilimia 59 katika kipindi kama hicho mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako