• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Dembele ajiunga na Guangzhou FC kwa kitika cha pauni 11m

    (GMT+08:00) 2019-01-18 08:53:21

    Kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imemuuza kiungo wake Mousa Dembele kucheza klabu ya Guangzhou inayoshiriki ligi kuu ya hapa China.

    Meneja wa mchezaji huyo Mauricio Pochettino ameweka bayana kuwa Dembele mwenye umri wa miaka 31, atajiunga na klabu hiyo ya China katika msimu ujao wa ligi, Spurs imemuuza mchezai huyo kwa kiasi cha pauni milioni 11.

    Dembele hajaonekana uwanjani tangu Novemba 3 mwaka jana kutokana na matatizo ya mguu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako