• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNHCR yakumbwa na upungufu wa fedha katika kukidhi mahitaji ya wakimbizi nchini Ethiopia

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:11:10

    Kamishna mwandamizi wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amesema shirika lake limepata asilimia 50 tu ya dola milioni 327.8 za kimarekani zinazohitajika kukidhi mahitaji ya wakimbizi nchini Ethiopia.

    UNHCR imetoa taarifa ikisema fedha hizo zinatumika kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya lishe, elimu, afya na makazi ya wakimbizi hao nchini Ethiopia.

    Hadi kufikia tarehe 31 Agosti, UNHCR imeandikisha wakimbizi zaidi ya laki 9 nchini Ethiopia, wengi wao wamepelekwa katika kambi za wakimibizi zilizoko katika majimbo sita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako