• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya watarajia kubadilisha makubaliano kama Uingereza itabadilisha "mistari mekundu"

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:49:58

    Mwakilishi mkuu wa Umoja wa Ulaya katika suala la Uingereza kujitoa umoja huo Bw. Michel Barnier, amesema Umoja wa Ulaya utabadilisha makubaliano mara moja kama Uingereza itabadilisha "mistari mekundu".

    Bw. Barnier amesema makubaliano yaliyojadiliwa ni njia bora ya kutatua suala hilo. Ingawa mpango wowote unaweza kujadiliwa, lakini Uingereza ikitaka maslahi zaidi, Umoja wa Ulaya uko tayari kujibu.

    Pia amesema, umoja huo utaheshimu nia na kanuni za Uingereza, lakini pia unafuata kanuni ya soko moja na uhuru kwenye mambo manne ya umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako