• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Burundi yataka mkutano maalum na Rwanda kujadili uhusiano kati yao

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:50:18

    Msemaji wa rais wa Burundi Bw. Jean Claude Karerwa amesema, Burundi inataka mkutano maalum uitishwe kando ya mkutano wa 20 ujao wa viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika nchini Tanzania, kujadili kuhusu uhusiano na nchi jirani yake Rwanda.

    Bw. Karerwa amesema lengo la mkutano huo maalum ni kujadili uchokozi wa Rwanda dhidi ya Burundi ambao umekiuka sheria za kimataifa.

    Kwa mujibu wa Bw. Karerwa mkutano huo ulipangwa kufanyika Februari Mosi mjini Arusha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako