• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Russia na Serbia zasaini makubaliano kuhusu nishati na miundombinu

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:51:30

    Russia na Serbia zimesaini makubaliano ya ushirikiano wakati rais Vladimir Putin anafanya ziara huko Belgrade, Serbia. Kwa mujibu wa Ikulu ya Russia nchi hizo mbili zimesaini makubaliano kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta likiwa na vifaa vingi vya kuhifadhia mafuta na ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme kinacholenga kutimiza usambazaji wa gesi nchini Serbia. Pia nchi hizo zimesaini makubaliano kuhusu ushirikiano wa miundombinu, haswa katika sekta ya reli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako