• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump aahirisha ziara ya Pelosi kutokana na kufungwa kwa serikali

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:51:51

    Rais Donald Trump wa Marekani amemwambia spika Nancy Pelosi kuwa ziara yake ya nchi za nje imeahirishwa, siku moja baada ya bibi Pelosi kumtaka aahirishe hotuba yake kwa taifa kutokana na kuendelea kufungwa kwa baadhi ya idara za serikali. Rais Trump amesema safari za Bibi Pelosi za kwenda Brussels, Misri na Afghanistan zimeahirishwa na zitapangwa upya baada ya kumalizika kufungwa kwa serikali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako