• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Ufaransa kuendelea kuwepo nchini Syria mwaka huu

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:52:15

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema nchi yake itatekeleza operesheni za kijeshi dhidi ya wapiganaji wa kundi la IS nchini Syria na kuonya kuwa hatua ya kuwaondoa askari kwa haraka itakuwa kosa. Amesema uamuzi uliofanywa na Marekani kuwaondoa askari nchini Syria hautaizuia Ufaransa kutekeleza lengo la kimkakati yaani kuliangamiza kundi la IS. Akitoa salamu za pole kutokana na askari wa Marekani kuuawa katika mlipuko wa bomu huko Manbij nchini Syria, rais Macron amesema mapambano bado hayajamalizika, kwani magaidi wa IS wapo na wanaendelea kuwashambulia askari wa Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako