• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Morocco yazuia majaribio 88,700 ya uhamiaji mwaka jana

    (GMT+08:00) 2019-01-18 09:52:58

    Mwaka jana mamlaka za Morocco zilizuia majaribio 88,761 ya uhamiaji haramu, idadi ambayo iliongezeka kwa asilimia 37 kutoka mwaka juzi. Takwimu kutoka wizara ya Mambo ya ndani ya Morocco zinaonesha kuwa, asilimia 80 ya majaribio hayo yamefanywa na wageni na wahamiaji 29,715 waliokolewa baharini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako