• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapinga vikali ripoti ya Marekani kuhusu tathmini ya ulinzi wa makombora

    (GMT+08:00) 2019-01-19 16:57:59

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema China imekasirishwa vikali na kupinga kithabiti ripoti ya Marekani kuhusu tathmini ya ulinzi wa makombora iliyosisitiza tishio la China, na kuishawishi Marekani iache mtizamo wa vita baridi na kulinda amani na utulivu wa dunia kivitendo.

    Bi. Hua Chunying amesema ripoti hiyo imepuuza amani na maendeleo, na kutangaza mtizamo wa vita baridi ambao ni maoni ya zamani, na ilisisitiza tishio la China. Vitendo vya Marekani vitavunja amani na salama wa kikanda, na kuathiri mchakato wa kupunguza silaha za nyuklia duniani, kuhimiza mashindano ya uhifadhi wa silaha na kuvunja uwiano na utulivu duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako