• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Sudan asema waandamanaji waliuawa na watu waliojichomeka kwenye maandamano

    (GMT+08:00) 2019-01-21 08:55:28

    Rais Omar Al- Bashir wa Sudan amesema watu waliojichomeka kwenye maandamano waliwaua baadhi ya waandamanaji ili kuchochea msukosuko.

    Akiongea kwenye mkutano wa hadhara katika jimbo la white Nile, Rais Bashir amesema miongoni mwa waandamanaji kulikuwa na wafuasi wa kundi la SPLM Abdul Wahid, waliojichomeka na kuwaua waandamanaji. Amesema daktari wa eneo la Buri aliuawa kwa silaha ambayo haipo kwenye vyombo vyote vya usalama wala haipo nchini Sudan.

    Amesema wafuasi wa kundi hilo waliokamatwa wamekiri kuwa kazi yao ilikuwa ni kuwaua waandamanaji ili kuchochea msukosuko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako