• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UN yaeleza kufuatilia ukusanyaji wa wanajeshi kusini mwa Libya

    (GMT+08:00) 2019-01-21 09:23:53

    Tume ya Msaada ya Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL imeeleza kufuatilia kwa karibu ukusanyaji wa wanajeshi kusini mwa Libya na kuongezeka kwa mzunguzko wa majibizano, kitu ambacho kinaonyesha kuongezeka kwa hatari za kutokea kwa mapambano hivi karibuni. Tume hiyo imetoa wito kwa pande husika katika eneo hilo kujizuia ipasavyo. Wiki iliyopita jeshi lenye makao makuu mashariki mwa nchi hiyo lilitangaza kuzindua operesheni dhidi ya uhalifu na ugaidi katika eneo la kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako