• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wengi wakubali utaratibu wa pande mbalimbali na kutaka kuimarisha ushirikiano wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2019-01-21 18:47:05

    Baraza la Uchumi la Dunia limetangaza uchunguzi mpya wa maoni ya watu ukionesha kuwa, watu wengi wanakubali utaratibu wa pande mbalimbali na kutaka kuimarisha ushirikiano wa kimataifa, pia wanapinga vitendo vinavyoathiri maslahi ya nchi nyingine kwa nchi zao wenyewe.

    Mwanzilishi wa baraza hilo ambaye pia ni mwenyekiti mtendaji Bw. Kalus Schwab amesema, ingawa uwezo wa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua kwa pamoja ni mdogo, lakini watu wengi wanawataka viongozi wao watafute njia ya ushirikiano na kushirikiana kukabiliana na changamoto zote kubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako