• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuendelea kuboresha hewa kote nchini

    (GMT+08:00) 2019-01-21 19:13:28

    Mkurugenzi wa idara ya mazingira ya hewa katika wizara ya mazingira ya kiikolojia ya China Bw. Liu Bingjiang leo hapa Beijing amesema, hali ya jumla ya hewa ya China imeboreshwa katika mwaka 2018, na mwaka huu, China itaendelea kuboresha hewa kote nchini.

    Bw. Liu Bingjiang amesema, katika mwaka 2019, China itaharakisha marekebisho ya miundo ya uzalishaji, nishati, uchukuzi na matumizi ya ardhi, kuratibu na kuhimiza maendeleo ya uchumi na uhifadhi wa mazingira, na kusukuma mbele ubora wa hewa kote nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako