• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Uagiazji wa nguo kuukuu waongezeka Kenya

  (GMT+08:00) 2019-01-21 21:04:06

  Uagizaji wa nguo kuukuu nchini Kenya ilifikia tani 134,00 katika robo tatu za kwanza za mwaka 2018.

  Kwenye kipindi hicho uagizaji uliongezeka kwa asilimia 31 na wadau kwenye sekta hiyo walitumia shilingi bilioni 12.

  Hata hivyo chama cha watengenezaji bidhaa nchini humo KAM kimesema uagizaji huo unaathiri utengenezaji wa ndani wa nguo.

  Chama hicho kinaunga mkono hatua ya serikali ya uotoza ushuru wa shilingi milioni 2 kwa kila kontena la nguo kuukuu la futi 20 na shilingi milioni 4 kwa kotena la futi 40.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako