• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Mashariki EA kukua kwa kasi kuliko mikoa mengine ya Afrika mwaka 2019 ADB

  (GMT+08:00) 2019-01-21 21:04:23

  Afrika Mashariki inaonekana kukua kwa kasi kuliko mikoa mengi ya Afrika katiki Bara mwaka 2019, kulingana na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB).

  Kulingana na mtazamo wa uchumi wa Afrika 2019, iliyoandikwa na ADB inakadiriwa kukua kwa wastani wa asilimia 5.9 mwaka 2019 na asilimia 6.1 mwaka 2020.

  Ukuaji wa unaokadiriwa unaweka Afrika Mashariki kuongoza katika kuvutia Uwekezaji wa moja kwa moja wa Nje kipengele muhimu ambacho kinaweza kukuza maendeleo ya kiuchumi zaidi ya mkoa mwingine wowote.

  Ukuaji huo utafikiwa, kulingana na ripoti, licha ya hatari za ndani na nje, kati ya kukua kwa madeni na tishio la machafuko ya kisiasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako