• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wakwepa kulipa kodi Arusha kushitakiwa

  (GMT+08:00) 2019-01-21 21:04:58

  Mamlaka ya jiji Tanzania imeanza oparesheni ya kuwakamata wafanyibiashara wanaokwepa kulipa kodi.

  Mkurungezi wa jiji Arusha Dk Maulid Madeni mapato yameshuka kwa kipindi cha miezi miwili kutoka na wafanyibiashara kutolipa kodi kwa wakati.

  Amesema katika operesheni hii, wafanyibiashara wale watakuwa hawajalipa kodi zao, hawatafungiwa biashra za bali watakamatwa na kushitakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi .

  Oparesheni hii inalenga wamiliki wa viwanda, amduka ya bidhaa pamoja aina nyengine za biashara zinazohitajika kulipa kodi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako