• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Afrika Kusini ilikataa ombi la Zimbabwe la mkopo wa sh bilioni 122 mwezi Disemba

  (GMT+08:00) 2019-01-21 21:05:15

  frika Kusini ilikataa ombi kutoka kwa jirani wake wa kusini mwa Afrika Zimbabwe kwa mkopo wa dola bilioni 1.2 mwezi Desemba, msemaji wa Wizara ya Fedha amesema leo.

  Msemaji wa Hazina ya Taifa Jabulani amesema Afrika Kusini haina pesa hiyo.

  Ombi hili limejiri baada ya Zimbabwe kukuwa na maandamano ya kupambana na serikali wiki iliyopita baada ya kuongezeka kwa bei za mafuta jambo ambalo lilisababisha mgogoro wa kiuchumi.

  Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amesema kwamba atarudi nyumbani kutoka ziara ya Ulaya na kuruka mkutano wa Uchumi wa Dunia huko Davos ili kukabiliana na mgogoro huo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako