• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Pande hasimu mjini Tripoli zasaini makubaliano ya kusimamisha vita

    (GMT+08:00) 2019-01-22 08:53:13

    Pande hasimu mjini Tripoli, Libya zimefikia makubaliano ya kusimamisha vita baada ya upatanishi wa kikabila. Mkuu wa ujumbe wa upatanishi wa kikabila Mohamed al-Barghuthi amewaambia wanahabari kuwa pande hizo zitaondoa vikosi vyao kilomita 15 kutoka mpaka wa kila upandeļ¼Œ na silaha zote nzito na za kawaida. Pia amesema wamekubaliana kufungua barabara zilizofungwa na kuondoa vizuizi, kubadilishana wafungwa na mateka, kuhakikisha utekelezaji wa makubaliano na kusimamisha ulinzi wa kijamii na kijeshi na uungaji mkono kwa wahalifu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako