• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kufuatia mlipuko wa bomba la mafuta nchini Mexico yafikia 89

    (GMT+08:00) 2019-01-22 08:54:58

    Waziri wa afya wa Mexico Jorge Alcocer amesema idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa boma la mafuta nchini humo inaendelea kuongezeka na kufikia 89 baada ya wale waliojeruhiwa vibaya kufa kwa majeraha. Pia amesema watu wengine 65 hawajulikani walipo na 51 wamelazwa katika hospitali tofauti katikati ya Mexico, na vijana wawili ni miongoni mwa majeruhi waliopelekwa Marekani kupata matibabu maalumu ya kuungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako