• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 26 wafariki baada ya lori la mafuta kugongana na basi  Pakistan

    (GMT+08:00) 2019-01-22 08:55:25

    Watu 26 wamefariki dunia baada ya lori la mafuta kugongana na basi katika wilaya ndogo ya Huba kusini magharibi mwa Pakistan. Msimamizi wa ngazi ya juu wa Polisi Agha Ramzan Ali amesema idadi ya vifo imeongezeka baada ya watu 13 kufariki kwa majeraha ya kuungua wakati wanapewa matibabu hospitalini. Amesema ajali hiyo imetokea wakati basi la abiria la mwendo kasi lilipogongana na lori la mafuta lililokuwa linalotoka upande tofauti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako