• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za Afrika kuanzisha mkakati wa kuendeleza ulinzi wa mtoto

    (GMT+08:00) 2019-01-22 19:01:29

    Maofisa wanaoshughulika na ulinzi wa mtoto kutoka nchi na sehemu 27 watakutana nchini Namibia kwa mara ya kwanza kujadili mwelekeo wa sasa wa ulinzi wa mtoto na kuanzisha mkakati wa ulinzi wa mtoto kwa ajili ya ofisi ya kikanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, ESAF.

    Msimamizi wa ulinzi wa Mtoto wa Namibia Bi. Christine Aochamus amesema, mkutano huo unatarajiwa kufanyika tarehe 11 mwezi ujao mjini Windhoek na lengo lake ni kuongeza ufahamu katika masuala ya ukiukwaji wa haki za watoto.

    Amesema moja ya mkakati ni kuhakikisha Mtandao wa Ulinzi wa Mtoto kupitia ushirikiano na wadau na pia kutambua njia za kuhusisha zaidi vyombo vya habari, vyombo vya kisheria na wenzi katika nchi husika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako