• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Kampuni ya Ruhago kununua mihogo zaidi kutoka kwa wakulima

  (GMT+08:00) 2019-01-22 19:42:49

  Kampuni ya kusaga unga wa mihogo ya Ruhango nchini Rwanda imesema itanunua tani 28,000 za mihogo mwaka huu.

  Awali kampuni hiyo ilikuwa inanunua tani 5,500 kwa mwaka.

  Hivi karibuni kampuni hiyo ilipata cheti cha kuuza bidhaa zake nchini Marekani na hivyo inahitaji kuzalisha bidhaa zaidi.

  Kutokan ana kupata cheti hicho sassa kampuni hiyo itauza nje kati ya tani 500 na 1000 kwenye soko la Marekani.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako