• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: Chai ya Rwanda yaimarika kwa ubora na bei

  (GMT+08:00) 2019-01-22 19:43:08

  Chai ya Rwanda imeuza kwa bei ya juu zaidi kwenye mnada wa chai wa Mombasa ikilinganishwa na ile ya kikanda.

  Taakwimu kutoka kwa idara ya chai zinaonyesha kuwa kilo moja ya chai ya Rwanda iliuza kwa franc2,520 huku ya Kenya ikiuza kwa 2,301 mwaka uliopita.

  Kulingana na wanunuzi, Rwanda, huzalisha mojawepo wa chai bora zaidi wenye kanda ya Afrika Mashariki na hivyo kuvutia bei ya juu.

  Zaidi ya nchi saba huuuza chai yao kupitia kwa mnada wa Mombasa ambayo baadaye huuzwa kwenye masoko ya kimataifa.

  Mnada huo unasimamiwa na chama cha wafanya biashara wa chai wa afrika mashariki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako