• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Ada mpya za huduma za benki zatangazwa Tanzania

  (GMT+08:00) 2019-01-22 19:45:33

  Watanzania wataanza kulipa gharama kubwa zaidi ili kupata huduma za benki baada taasisi hizo za fedha kutangaza kupandisha ada ya huduma kwa asilimia 30 hadi 50.

  Kuanzia Februari baadhi ya benki ili kuweza kutoa kiwango fulani cha fedha, lazima akaunti iwe na fedha ya ziada kati ya Sh4,720 hadi Sh6,500 kulingana na aina ya akaunti.

  Hali hii inakuja wakati faida ya benki nyingi ikizidi kushuka, huku sekta ya taasisi za fedha ikipambana na mikopo chechefu (NPLs).

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako