• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: Mashindano ya riadha ya Taifa ya jeshi la polisi, Kamworor

    (GMT+08:00) 2019-01-23 09:04:57

    Mwanariadha machachari nchini Kenya Geoffrey Kamworor ni miongoni mwa wanariadha watakaoshiriki shindano la riadha la taifa ya jeshi la polisi mwishoni mwa wiki hii siku ya jumamosi yatakayofanyika katika viwanja vya Ng'ong nje kidogo ya jiji la Nairobi.

    Kamworor ambaye anashiriki mashindano hayo kwa mara ya kwanza amesema amejiandaa vyema na anamatumaini ya kuibuka mshindi katika mashindano hayo ya kilomita 10 kwa wakubwa. Mwanariadha mwingine Kaptagat atashiriki shindano hilo ikiwa ni kujiandaa kwa mashindano ya kimataifa yatakayofanyika mjini Aarhus nchini Denmark mwezi Machi mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako