• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji haramu 245 waokolewa pwani ya magharibi ya Libya

    (GMT+08:00) 2019-01-23 10:35:21

    Idara ya Usalama wa Pwani ya Libya imesema jumla ya wahamiaji haramu 245 wakiwemo wanawake na watoto wameokolewa katika pwani ya magharibi ya nchi hiyo. Idara hiyo imetuma meli mbili kwenda kuwaokoa wahamiaji hao baada ya kupata ombi la msaada. Wahamiaji hao wanatoka nchi za Afrika na za kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako